Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 37 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿فَإِذَا ٱنشَقَّتِ ٱلسَّمَآءُ فَكَانَتۡ وَرۡدَةٗ كَٱلدِّهَانِ ﴾
[الرَّحمٰن: 37]
﴿فإذا انشقت السماء فكانت وردة كالدهان﴾ [الرَّحمٰن: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na pindi mbingu itakapopasuka na kuachana Siku ya Kiyama, ikawa nyekundu kama rangi ya waridi na kama mafuta yaliyochemshwa na risasi iliyoyayushwa, kutokana na mambo magumu na vituko vya Siku ya Kiyama |