×

Muombeni Mola wenu Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi 7:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:55) ayat 55 in Swahili

7:55 Surah Al-A‘raf ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 55 - الأعرَاف - Page - Juz 8

﴿ٱدۡعُواْ رَبَّكُمۡ تَضَرُّعٗا وَخُفۡيَةًۚ إِنَّهُۥ لَا يُحِبُّ ٱلۡمُعۡتَدِينَ ﴾
[الأعرَاف: 55]

Muombeni Mola wenu Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi warukao mipaka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ادعوا ربكم تضرعا وخفية إنه لا يحب المعتدين, باللغة السواحيلية

﴿ادعوا ربكم تضرعا وخفية إنه لا يحب المعتدين﴾ [الأعرَاف: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Muombeni, enyi Waumini, Mola wenu, kwa kujidhalilisha Kwake, kwa siri na kwa dhahiri.Na maombi yawe kwa unyenyekevu na yawe mbali na kujionyesha.Hakika Mwenyezi Mungu Hawapendi wanaokiuka mipaka ya sheria Zake. Na ukiukaji mkubwa ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, kama vile kuwaomba wafu, masanamu na wengineo mfano wao wasiokuwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek