Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 6 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡإِنسَٰنُ إِنَّكَ كَادِحٌ إِلَىٰ رَبِّكَ كَدۡحٗا فَمُلَٰقِيهِ ﴾
[الانشِقَاق: 6]
﴿ياأيها الإنسان إنك كادح إلى ربك كدحا فملاقيه﴾ [الانشِقَاق: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ewe binadamu, wewe unaenda kwa Mwenyezi Mungu na unafanya amali nzuri na mbaya, kisha utakutana na Yeye Siku ya Kiyama. Na huna budi kupata kutoka Kwake malipo mazuri zaidi ya amali yako njema au yanayolingana na amali yako mbaya |