Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Alaq ayat 19 - العَلَق - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا لَا تُطِعۡهُ وَٱسۡجُدۡۤ وَٱقۡتَرِب۩ ﴾
[العَلَق: 19]
﴿كلا لا تطعه واسجد واقترب﴾ [العَلَق: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo si kama Abu Jahl anavyoyadhania. Yeye, ewe Mtume, hawezi kukufanya lolote la kukudhuru Usimfuate kwa lile alilokuitia la kuwa uache Swala, bali msujudie Mola wako na uwe karibu na Yeye kwa kujipendekeza Kwake kwa kumtii |